Na kuna kitu iliniambia! (phr.)


(phr.) Nilinyamaza juu najua ningeambiwa nakuanga na roho mbaya

Examples:

  • Yaani hio online shop ni scam, na kuna kitu iliniambia nkaignore tu